Ukuaji wa mitandao yako, kwa mpango.
Chagua huduma za promotion na ukuaji wa akaunti zako. Tunakuunganisha na kampeni za matangazo na huduma za wasambazaji wa huduma za mitandao ya kijamii. Hakuna haja ya kutoa password yako.
Chagua jukwaa lako
Angalia bei za vifurushi hapa chini, kisha agiza kwenye fomu.
Promotion ya akaunti, reach, engagement na kampeni za maudhui.
Profile promotionReels reachYouTube
Promotion ya video na channel kwa kampeni zinazolenga watazamaji halisi.
Video promotionChannel growthTikTok
Promotion ya video na usambazaji wa maudhui kwa hadhira husika.
Video reachCreator promotionPromotion ya page na posts pamoja na kampeni za kuongeza mwonekano.
Page promotionPost reachTelegram
Promotion ya channel na usambazaji wa matangazo kwa jamii husika.
Channel promotionHuduma maalumu
Tuambie lengo lako na tutakushauri kampeni inayofaa.
Custom campaignVifurushi na bei
Bei ni kwa Shilingi ya Tanzania (TSh).
Jinsi ya kuagiza
Chagua huduma
Chagua mtandao na aina ya promotion unayohitaji.
Weka link
Weka link ya profile, post au video. Usitume password.
Lipa kwa simu
Chagua njia ya malipo ya simu na fuata maelekezo yatakayotolewa.
Weka oda yako
Chagua kifurushi, weka link yako, kisha tuma ombi. Utapata namba ya oda na kiasi cha kulipa.
Malipo ya simu
Tuma oda kwanza ili upate namba ya oda na kiasi cha kulipa. Kisha lipa kwa moja ya namba hapa chini, ukitumia namba ya simu uliyoweka kwenye fomu. Tutakagua malipo na kuanza kazi.